Jinsi gani naweza kuwa U-Reporter?

Kuwa wakala wa mabadiliko sasa!

Ungependa kusikia sauti yako ikisikika? Ni rahisi sana kuwa U-Reporter wala haizidi hata dakika moja kujiunga.

Njia ya 1: Njia rahisi kabisa ni kutuma ujumbe mfupi, “SAJILI” kwenda nambe 15070. Ni bure kwa ujumbe wowote utakaotuma.

Njia ya 2: Tembelea ukurasa wa facebook U-Report Tanzania https://free.facebook.com/ureport.tz/. Tuma neno
SAJILI kupitia sehemu yako ya kutumia ujumbe, facebook.

Njia ya 3: Tembelea ukurasa wa twitter U-Report Tanzania na ujiunge nasi: @UReportTanzania

Njia ya 4: Kama unamiliki smartphone, unaweza kujiunga U-Report kwa kupakua application ya Android katika linki
hii https://play.google.com/store/apps/details?id=in.ureport (Gharama zinaweza tozwa)   Pia unaweza jaribu kupakua kwa nija ya mtandao wa WIFI, kama una uwezo wa kuifikia.

Iliyotangulia