U-Reporter ni akina nani?

Ipo wazi kwa kila mmoja

Leo tuna zaidi ya vijana 170,400 Tanzania, wameandikishwa kama U-Reporter. U-Report inapatikana zaidi ya nchi 35 kanda zote duniani. Haijalishi popote ulipo.

Ifuatayo