Ni nani wanaomiliki U-Report?
Juhudi ya mkusanyiko
Falsafa ya U-Report, msingi wake ni ‘Ya watu, Kwa ajiri ya watu” Hivyo washirika wetu na jamii/wadau wa NGO wanawakilisha U-reporter kumiliki U-Report pamoja na UNICEF kama kiongozi mshirika.
Average Rating: ☆ ☆ ☆ ☆ ☆ (0 reviews)